Hello Mr politician

Its me! najua unashindwa nimemange aje kuget address yako, actually Sina but nahope utapata meso ya mine. Kwa lips zaothe word corruption imekuwa ndo mate yao kulubricate lips zao zisidry wakitalk.God Ni Kama aliwabless na lips za kutusweet talk, juu ile design nyi ukuwa convincing akuna resistance mtaeza incur.Ni juzi tu baba ule wa national resistance movement alisalimu amri na kulet go zile efforts aliwai make kukuwa leader wa majority ambao ironically awakuwa na say despite the fact that number zao zilikuwa high. Ni wish yangu tutakam to the realization that si words tu but pia actions za maleaders zi umatter. Wao wanaamini wakilead campaigns kwa media venye wanafight hii menace tutawapa applause. Ni funny how wanatubeba madanda,hope watafeel remorse kwa kunyonya zile doh sisi Kama citizens utoe in form of the tax. Sikatai yeah Ni obligation yetu kupay tax but Mr politician Nani alikuambia role yako Ni kubenefi sweat na efforts zangu kujinice. Tunakaa okay but deep down inatuhurt Ni venye uwezo atukuwa blessed nayo maybe tungemake greater change Kushinda ile ya kumark ballot paper juu of course kulingana na myths na facts za days zimepass vote yangu huwa aicount at all. Wish ikuwe made public that it’s not a must kurauka ngware kumake queue ndo umark ballot paper ambayo ile kazi kubwa hii ufanya ni kujaza zile ballot boxes nyi ukuwa mmeleta.

Leave a comment