Early Bird

Mayouth tumekuwa early birds juu ile time si urauka kusaka hustle
Ni mapema Kushinda zile birds zilicreatiwa kuwa zikiturausha
Wahenga walisema the early bird catches the worm
Niko na doubts ile worm tunaamkia in the name of hustle,ishanote time si huamka kuisaka na ikadecide itakuwa inaamka mapema ili tusiipate

Utasare sleep yako ufike ile base uliskia rumors za kukuwa na form ya job ili urate bahati yako
Disappointments nazo ukiamka zi ukuwa rada yako ata Kushinda kivuli yako juu kukuwacha nayo azijuangi
Utafika on time yes but before urealise wale wa kujuana na “wakubwa” watakuwa washachukuliwa ukiwa bado umebangaiza tu
Utashtuka zaidi kuona wale wa kupeana “chai” pia wakichukuliwa,utajaribu kuingia kwa pockets maybe pia we Uplay along ukisahau ile mfuko yako imebeba Ni ID pekee

Utafeel wasted, disappointed na unfortunate kukosa kupata kilichokuamsha reasons zikiwa aukuwa na connection na pia za kupeana “chai” aukuwa nazo

Ni self consolation itakukeep going ukikumbuka plans zote ni za aliyejuu na ako na better plans juu ya life yako.

Leave a comment